Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2016

WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2016

TAARIFA KWA UMMA 24-JUNI-2016. OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana 20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi. Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika sh...

NAFASI ZA KAZI TANZANIA INTER- CONSULT LTD MWISHO TAREHE 30 JUNE 2016

SENIOR HIGHWAY DESIGN ENGINEER – 2 Positions POSITION DESCRIPTION: Inter-Consult ltd Multidisciplinary ‘Consultancy VACANCIES Inter-consult Ltd is a leading, dynamic ISO 9001. 2008 Certified Multidisciplinary Consultancy Company operating in Tanzania and the East African Region for over 35 years offering’ services ranging from Studies, Designs, Supervision to Management of projects in the infrastructure sector. It is a one-stop -shop for professional services housed under one roof at their headquarters-“Inter House” in Dar es Salaam and organized into six Technical Departments. • Civil Engineerinq Roads Land Surveying Water Supply and Sanitation • Architecture & Town Planning • Structural & Bridge Engineering • Geotechnical Engineering • Mechanical & Electrical Engineering • Quantity Surveying Due to expansion and increasing assignments in Tanzania and the Region we now wish to fill the followin...

NI UKATILI NA UDHALILISHAJI WA WAAFRIKA UGHAIBUNI

Picha
MSICHANA WA KAZI ZA NDANI ACHOMWA NA MOTO UARABUNI Msichana Mary Kibwana Kamango (pichani) raia wa Kenya ambaye alinyanyaswa na kujeruhiwa na mwajiri wake huko  nchini Jordan amerejeshwa nyumbani. Mary amesimulia kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa wasichana kutoka Afrika wanaofanya kazi za ndani katika nchi zilizopo katika Falme za Kiarabu. Tukio lake lilihusisha kupigwa na mwajiri wake na kuchomwa kwa moto wa gesi mapema mwezi Aprili mwaka huu. Pamoja na kuomba msaada hakuna aliyemsaidia ikiwemo vyombo vya usalama nchini Jordan. Baada ya tukio hilo la kusikitisha, raia  wa Kenya wanaoishi katika nchini Jordan walichangishana fedha za nauli na kufanikiwa kumsafirisha mwenzao kurudi nyumbani. Kwa sasa Mary amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta ambako anapatiwa matibabu ya majeraha ya moto wa gesi. Mary amewaasa wasichana wenzie dhidi ya unyanyasaji wanaofanyiwa wafanyakazi wa kazi za ndani katika nchi za Falme za Kiarabu. Aidha matukio haya yameendelea kuripotiwa ma...

MBWA KUTUMIKA KAMA TIBA YA MALARIA

www.bbc.com/swahili/habari/2016/06/160601_malaria_sniffer_dogs?ocid=socialflow_facebook