NACTE IMERELEASE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO MBALIMBALI NCHINI. PIA WAMETOA MUDA KWA AJILI YA AWAMU YA PILI YA KUTUMA MAOMBI.
ANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWAPAMOJA NA APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO NON DEGREE (DIPLOMA AND CERTIFICATE) PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017-NACTE Tangaza biashara yako hapa, kwa kubofya hapa Nacte wametoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kuchaguliwa katika vyuo mbalimbali afya,ualimu ,kilimo na mifugo kwa level ya cheti na diploma. Pia inakaribisha maombi mapya kwa wanafunzi wapya. Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016. Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 5 Agosti 2016 saa sita usiku. Waombaji wapya na baadhi ya waombaji walioshindwa kukamilisha maombi yao kupitia mtandao ilipofika tarehe 3 Juni 2016, wanaarifiwa kuanza kuwasilisha maombi ya udahili kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) ili kujaza nafasi zili...