Machapisho

NAFASI ZA KAZI TOTOHEALTH

NAFASI YA KAZI RESEARCH & IMPACT OFFICER - TOTOHEALTH TANZANIA LIMITED, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 30 MAY 2017 Print Email Description Background of Totohealth Tanzania Ltd. Totohealth is a social enterprise based in Moshi town, Kilimanjaro Region. Our vision is a world where no woman dies giving life and a world where every child has a fair and equal start to life. Totohealth’s mission is to make motherhood* a safe and joyful experience. We offer a set of services available over the span of pregnancy, delivery and up to 5 years of a child’s life. Our package of solutions include (1) information, education and communication (IEC) through a interactive text messaging platform, (2) life-saving products including a comprehensive Clean Delivery Pack (CDP) to be used at delivery, and (3) Newborn Survival Pack (NSP) with applicable supplies for the mother and for newborn survival for first month of life. All these services are implemented in partnership with local Distric...
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi Riwaya: TAKADINI Mwandishi: ben hanson Wachapishaji: mathew bookstore and stationaries Utangulizi Takadini ni riwaya ambayo imelenga kuzifumbua macho jamii ambazo bado zinashikilia mila na desturi ambazo zimepitwa na wakati. Riwaya hii imelenga kueleza namna ambayo mila na desturi zinavyotumika kuwakandamiza baadhi ya watu katika jamii hasa wanawake na watu wenye ulemavu mbalimbali. Msanii amemtumia mhusika TAKADINI kuwakilisha watu wenye ulemavu wa ngozi. Pia amemtumia Sekai kuwakilisha kundi kubwa la wanawake wanaonyanyaswa na kukandamizwa na mila na desturi za jamii mbalimbali. Msanii anasisitiza kuwa kama baadhi ya watu wataelimika na kuwa na msimamo thabiti katika kukemea mila hizi kandamizi kama walivyofanya mzee Chivero, Shingai na Sekai, tatizo hili linaweza kupungua au kuisha kabisa. Maudhui Dhamira Msanii amejikita katika kueleza kuhusiana na ukombozi wa kiutamaduni. Msanii anaonekana kusukumwa zaidi na suala la jamii kuk...

NAFASI ZA KAZI

www.ajirazetu.com/ajira/nafasi-ya-kazi-area-program-ministry-facilitator-world-vision-tuma-maombi-kabla-ya-tarehe-8-april-2017

FAIDA ZA JUICE YA KAROTI

Nimejikuta napenda sana juisi ya karoti ambayo nakunywa walau mara moja tu  kila siku. Watu wengi hawaipendi wanasema sio tamu lakini inategemea imetengezwaje.Katika utengezwaaji ili uenjoy juice yako lazima iwe haina maji yaliyoongezwa wala sukari.Ni juice tuu ya karoti pekeee. KWAKUNYWA JUICE YA KAROTI UTAPATA FAIDA ZIFUATAZO. 1 .Karoti ina carotine ambayo hukupa uwingi wa vitamins A,B,na E 2.Kwa sababu ya uwingi wa madini juice ya karoti inasaidia sana afya ya macho katika kuona vizuri,uimara wa mifupa,meno na kucha. 3.Pia ngozi nyororo nayenye afya bila kusahau nywele. 4 .Juisi ya karoti inasaidia kupunguza uwezokano wa kupata kansa ya ngozi na matiti. 5.Ukosefu wa vitamini A husababisha ngozi kukauka,kucha na nywele kuwa dhaifu sasa juisi ya karoti ina uwingi wa vitamin hivyo jusi hii ndio mpango mzima. 6 .Kwa sababu ya uwingi huo wa vitamin A husaidia ini kufanya kazi yake ipasavyo.Na inasemekana ili ipatikane vitamin A ya kutosha kunywa juisi hii kila siku sio ukijisi...

FAIDA ZA JUICE YA UKWAJU

Tunda la Ukwaju.Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.Juisi ya Ukwaju. NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyeweweka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa FAIDA YA JUISI YA UKWAJU. 1.  Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer) 2. Chanzo cha Vitam...

WALIOFAULU USAILI WA AJIRA SERIKALINI KUFUTWA

Picha
Watu wote waliokuwa wamefanya usaili kwa ajili ya ajira serikalini kupitia Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma kabla ya ajira kusimamishwa, watafutwa ndani ya miezi 6 na kulazimika kuomba upya kipindi ajira hizo zitakapotangazwa tena. Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Hilo limebainishwa na sekretarieti hiyo kupitia majibu kwa wadau mbalimbali kwa mwezi Desemba ambao wamekuwa wakiuliza maswali na kujibiwa kila mwezi kupitia tovuti yake, na kubainisha kuwa suala hilo litawahusu wale ambao walifaulu usaili lakini kabla hawajapangiwa vituo vya kazi au kupewa barua na waajiri wao, ajira zikasimamishwa ili kupisha uhakiki wa watumishi hewa. Taarifa hiyo imesema kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wa sekretarieti hiyo, kwamba majina ya waliofaulu huhifadhiwa kwenye kanzi data (Database) kwa muda usiozidi miezi sita, na baada ya hapo majina hayo hufutwa. "Kwa mujibu wa Taratibu zetu za uendeshaji wa mchakato wa ajira majina ya waombaji kazi waliofaulu lakini hawakupangiwa vituo vy...

Download Navy Kenzo Game hapa

I just used Shazam to discover Game by Navy Kenzo. https://shz.am/t280254984