Kwaheri GPA
Waziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako amefuta mfumo wa ukokotoaji na utoaji matokeo kwa mfumo wa GPA na kueleza kuwa mfumo huo unapotosha matokeo ya wanafunz.....aidha wadau wa elimu wakiwemo wazazi wamefurahishwa san na uamuz huo wa waziri wa elimu na kuahidi kumuunga mkono katika hilo. "Hawa ndio mawazir tunaowakubali. Si majitu ya kuleta mambo yasiyo na msingi." mwananchi mmoja alisikika akisema hivyo baada ya kusikia habari hizo redioni.
Maoni
Chapisha Maoni