BUNGE LACHAFUKA

KILICHOJIRI BUNGENI DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA.

Naibu spika kama kawaida yake katoa maelezo ya kile kilichotekea asbh ya leo,kuwa ameiagiza kamati ya uogozi kujadiriana na kuleta report yao,hivyo vikao vya bunge viendelee kama ratiba ilivyoonesha.

Mh.John Mnyika alisimama kutaka kuomba muongozo na kunyimwa nafasi hiyo na kiti,hata hivyo baadae naibu Spika aliwaamrisha askari kumtoa  nje kwa nguvu.

Wabunge wa UKAWA waliendelea kupaza sauti juu waziri wa Elimu kuleta maelezo juu ya hatma ya wanafunzi wa UDOM.

Naibu spika alishikiria msimamo na kuwaagiza askari kutoa kambi nzima nje.

Wabunge wa CCM wamesalia ndani kuendelea kijadiri hoja ya maji na si watoto wetu wanaoteseka stand ya mabasi ya UDOM.

Anatropia Theonest

Press conference ya UKAWA inaendelea

Breaking newss

UKAWA hatuna Imani na spika na siku yoyote atakayo kaa kwenye kiti kuongoza wabunge wa Ukawa,hatutaingia bungeni.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA JUICE YA KAROTI

FAIDA ZA JUICE YA UKWAJU